The Circle of Life: English - Swahili Bilingual Edition
| AUTHOR | Iribemwangi, Patrick; Umar, Mohammed |
| PUBLISHER | Salaam Publishing (11/28/2024) |
| PRODUCT TYPE | Paperback (Paperback) |
When Kiki, Sofia's cat, did not wake up and play with her one morning, Sofia became sad. It was time for Sofia's father to explain the circle of life, and give her something to make her smile again.
Asubuhi moja, Kiki - paka wake Sofia - alipokosa kuamka na kucheza naye, Sofia alisikitika sana. Hii ilitokea kuwa nafasi nzuri kwa babake Sofia kumweleza kuhusu mduara wa maisha na kisha kumpa kitu cha kumfurahisha tena.